Interview Questionnaire

*** Tafadhali jaza fomu hapa chini ***

Kwa kutumia mtandandao wa ajira zetu unaweza kupata nafasi za kazi au ajira kwa urahisi na ndani ya muda mfupi sana, Mtadano huu umeweza kuwasaidia watu wengi sana kuajiriwa ndani na nje ya Tanzania, haijalishi uwe unatokea kijijini au mjini, unachotakiwa ni kujaza form hii ili kijiunga bure 

Hakikisha unaweka wazi infomation za ukweli hasa hasa jinsi ya kupata mawasiliano ni muhimu sana. Hakikisha uko na pasport ambayo ni valid atleast ndani ya miezi sita na kwa madereva hakikisha leseni yako pia ni valid. Hivi vitu ni muhimu sana tafadhali zingatia kila kilichoelezwa kwenye ukurasa huu.

Hakikisha una CONFIRM email kutoka kwetu ili uweze kupokelewa CV yako na barua ya maombi pindi unapotuma